KUHUSU SISI

about1
about1

Tuna furaha na teknolojia inayoigusia jamii ya leo.

OTAPP inajitambulisha kama kampuni ya teknolojia yenye kuleta mapinduzi uwekaji wa tiketi za basi mtandaoni nchini Tanzania na jukwaa la ukataji la matukio nchini Tanzania. Tangu kuanzishwa kwetu kama mojawapo ya mifumo bora zaidi ya tiketi za basi mwaka 2014, tumejivunia kupanuka kama kampuni ya teknolojia ya utoaji wa tiketi kwa huduma nyingine mbalimbali ikiwa ni pamoja na matukio, filamu, hoteli, mabasi, ndege an burudani.Otapp inakubalika na kupendelewa katika soko la sasa kwa suluhu zake za upataji tiketi za aina tofauti zinazomfaa mtumiaji.

Hisia na uzoefu bomba

Kama wafumbuzi wabunifu wa ukataji tiketi mtandaoni nchini Tanzania. Watumiaji wetu wanaweza kufurahia ufikiaji wa huduma mbalimbali za tiketi, huku wakiweka nafasi na kulipa chini ya jukwaa moja. Si hivyo tu! Tunaruhusu wanaotembelea tovuti yetu kuokoa pesa wakati kwa kuhifadhi tiketi mtandaoni na tunawapa wamiliki wa biashara faida ya kufikia soko lisilo na kikomo na kuzidisha mauzo.

mission
Misheni yetu
Misheni yetu ni kuwa wabunifu wa teknolojia ya tiketi mtandao kupitia utengenezaji wa thamani kwenye solusheni zetu.
mission
Dira yetu
Dira Yetu ni kuunda suluhishi ya kibunifu ya teknolojia ya mtandaoni kwa ajili ya uendeshaji automatiki wa michakato wa biashara na kutumia uwezo wa teknolojia ili kuwezesha kuokoa muda na rasilimali.
mission
Malengo yetu
Lengo letu ni kuongoza katika kuendeleza na kutoa suluhu za teknolojia ya tiketi mtandao kwa watu nchini Tanzania, Afrika Mashariki na Afrika.

MAADILI YETU

globe
Viwango vya dunia

Mumo uliounganishwa ambao umekidhi viwango vya dunia na unaweza kuunganishwa na mfumo wowote duniani.

Innovation
Ubunifu na Teknolojia

Tunatafuta njia za kuboresha huduma tunazotoa kulingana na teknolojia inayobadilika kila wakati.

Commitment
Kujitolea

Tumejitolea kukidhi mahitaji na matarajio ya wateja wetu kwa kuridhika kwao.

Quality
Ubora

Tunatoa hifadhi za bei nafuu, zinazomfaa mtumiaji mtandaoni na kwenye suluhisho za tiketi.

confidentiality
Usiri

Biashara yetu inathamini ufaragha na kutofichuliwa kwa maelezo ya wateja wetu kwa wahusika wengine.

Kutana na timu yetu

ROGERS MAHANYU
ROGERS MAHANYU

Mkurugenzi Mkuu

JOACHIM FERDINAND
JOACHIM FERDINAND

Mkurugenzi wa Operesheni

User friendly

Inayofaa mtumiaji

Mfumo wetu umetengenezwa kuzinagtia soko la ndani. Hautakwama ukiwa unahifadhi tiketi na Otapp. Tunakuahidi utarudi kwetu

Cashless

Nenda Bila Fedha

Furahia urahisi unavyopanga hifadhi ya tiketi mtandaoni na kulipa. Una hofu juu ya kununua tiketi nyingi? Lipia na kadi yako

Super Safe

Salama zaidi

Malipo yako yako salama nasi kwenye mfumo wetu, pata tiketi kwa haraka kwenye kifaa chako cha kieletroniki. Yaweza kuwa bora zaidi ya hii?

Best deals

Pata dili bomba

Tunatoa ofa bomba kwa huduma unayolipia, iwe ni burudani au usafiri, okoa pesa na muda ukiwa nasi

Pakua Aplikesheni Sasa!

Pata zaidi na aplikesheni yetu | Hifadhi ya tiketi za haraka na rahisi
App store
Otapp play store